.
Wandowa Titus
  • Home
  • About Me
  • Leadership
    LeadershipShow More
    Dhambi inayokusumbua leo ndiyo inayoangamiza kesho yako.
    4 Min Read
    Viongozi hula mwishoni (leaders eat last)
    1 Min Read
    Sababu 5 kwanini watu wanaondoka kwenye maisha yako.
    5 Min Read
    Amani ya moyo ndio nguvu ya kesho yako
    3 Min Read
  • A woman
    A womanShow More
    Ujana wangu Utu wangu
    8 Min Read
    Mitindo ya mawasiliano katika mahusiano
    4 Min Read
    Kabla simruhusu binti yangu!
    4 Min Read
    Kwanini 89% ya wanawake wasomi wanaomba talaka?
    1 Min Read
  • Shop
  • Contact Us
Font ResizerAa
Wandowa TitusWandowa Titus
0
  • Mind Growth
  • Leadership
  • A woman
Search
  • Mind Growth
  • Leadership
  • A woman
Follow US
Mind Growth

Kwanini Vijana wengi wanasumbuliwa na uraibu wa ngono (Sexual addiction)?

wandowa By wandowa Last updated: September 8, 2025
Share

Kabla ya yote ngono huharibu mfumo wa kufikiri! kwanini ngono imekua inaleta uharibifu sana sababu ya hatima yako!

Fikra yako ikiharibika na hatima yako inakosa mwelekeo!.

Wandowa Titus

Sababu zinzopelekea vijana kuwa na uraibu wa ngono

  1. Urahisi wa kupata Maudhui ya ngono (Pornography)
    Teknolojia na intanet vimefanya maudhui ya ngono (porno) kuwa ni rahisi kupatikana, hivyo vijana wengi wanapata uraibu wa kutazama porno kuanzia wakiwa na umri mdogo tabia inajijenga toka wakiwa wadogo.
    Ponografia huongeza tamaa zisizothibitika na mara nyingine hupelekea uhalisia wa ngono kupoteza maana yake halisi (emotional disconnection)
  2. Ukosefu wa Elimu Sahihi ya ngono
    Wengi hawapati elimu ya kina kuhusu afya ya uzazi , thamani ya miili yao na athari za kujihusisha na ngono kiholela. Matokeo yake wanajifunza kutoka kwa mitandao au marafiki ambao wengi wao hawatoi maarifa sahihi.
  3. Shinikizo la Kijamii na Utamaduni wa kileo
    Tamaduni nyingi za sasa hasa mtandaoni zinachochea kuonesha “Ngono kama burudani” badala ya kuwa tendo la heshima na dhamana. Vijana hushawishiwa kwa urahisi kupitia filamu, muziki, mitandao ya kijamii, n.k
  4. Changamoto za Kisaikolojia
    Wengine hukimbilia ngono kama njia ya kuepuka msongo wa mawazo , upweke na huzuni au matatizo ya kifamilia. Hii imepelekea tabia ya kutumia ngono kama “Dawa ya muda” kwa maumivu ya ndani(Emotional numbing)
  5. Hofu ya kukosa (FOMO -Fear Of Misiing Out)
    Vijana wengi hujihusisha na tabia za ngono kiholela kwa kuhisi wanapaswa “kuwa kama wengine” au wasibaki nyuma kimaendeleo ya kijamii (Peer Pressure)
  6. Kutafuta Uthibitisho wa Kimaumbile
    Wengine hujihusisha na ngono mara kwa mara kutafuta kuthibitisha utu wao au thamani yao (self-worth) kwa kujihisi wanapendwa au wanathaminiwa kupitia tendo la ngono.

NAWEZAJE KUSHINDA URAIBU WA NGONO?
1. KUKIRI NA KUJITAMBUA
Hii ni hatua ya kwanza kabisa ambayo inakuhitaji wewe binafsi kukiri kweli ulikosea na unataka mabadiliko
i) Kubali kweli kuna tatizo : Jitambue kuwa una uraibu wa ngono na upo tayari kilishugulikia kwa moyo wa kweli

SOURCES:rubynews.comschoolnews.com
VIA:ThemeRuby
Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp LinkedIn Telegram Copy Link
Previous Article Kabla simruhusu binti yangu!
Next Article Sababu 5 kwanini watu wanaondoka kwenye maisha yako.
Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Daily Feed

Kwanini Vijana wengi wanasumbuliwa na uraibu wa ngono (Sexual addiction)?
September 8, 2025
Sonona ni nini?
September 8, 2025
Ujana wangu Utu wangu
September 5, 2025
Kabla simruhusu binti yangu!
August 2, 2025

You Might Also Like

LeadershipMind Growth

Dhambi inayokusumbua leo ndiyo inayoangamiza kesho yako.

December 7, 2024
LeadershipMind Growth

Amani ya moyo ndio nguvu ya kesho yako

October 21, 2024
Mind Growth

Usipoteze picha ya kwanza

December 7, 2024
Mind Growth

Kwanini unafikiri watu wengine wanafanikiwa kuliko wewe?

December 7, 2024

Thank you for Visiting My Website.

  • Leadership
  • A woman
  • Shop
  • Mind Growth

All Rights Reserved  © Wandowa Titus 2024. Powered by NETPOA

Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?